Mimi ni msichana wa miaka 25, ila tatizo langu ni kuwa nawapenda sana wanaume warefu lakini kila anayenifuata ni andunje (mfupi)
Hello Fuledi,
Mimi ni msichana wa miaka 25, ila tatizo langu ni kuwa nawapenda sana wanaume warefu lakini kila anayenifuata ni andunje (mfupi)
Nifanyeje ili niweze pata mtu mrefu,maana nasikia watu wafupi wana visirani sana
Asante
0 comments: