Mpenzi wangu umewahi kulala na wanaume wa ngapi kabla ya kuolewa na mimi?
Jamaa usiku wa kwanza kulala na mkewe baada
ya harusi akaamua amuulize swali asubuhi yake:-
ya harusi akaamua amuulize swali asubuhi yake:-
Jamaa: Mpenzi wangu umewahi kulala na
wanaume wa ngapi kabla ya kuolewa na mimi?
wanaume wa ngapi kabla ya kuolewa na mimi?
Mke: Wote walikiwa hawalali maana usiku ilikuwa
shughuli tu, yaani wewe ndio wa kwanza tumelala
mpaka asubuhi
shughuli tu, yaani wewe ndio wa kwanza tumelala
mpaka asubuhi
Jamaa akazimia pale pale
0 comments: