Picha maarufu ambayo hutumika na wezi wa mtandaoni hii hapa

08:21:00 Unknown 0 Comments

Kwa mezi huu nimeshatumiwa zaidi ya mara kumi picha hii ikiwa na majina tofauti eti wana deal la kunipa hela ndefu sasa cha ajabu wanadai wamevutiwa na profile pic yangu.... ambacho wananiacha hoi ni kwamba utawezaje kuvutiwa na profile ya mtu na kumpa hela??? duh wanatufanya sisi mbwiga sana... kuweni makini ............

You Might Also Like

0 comments: