Siri kubwa ya kuonekana unafaa katika kamati

19:59:00 Unknown 0 Comments

i. kamwe usiwahi katika mkutano ni dalili ya

kuwa we si mzoefu wa vikao
ii. Usiongee kitu mpaka mkutano japo umeshafikia nusu, hili litakufanya uonekane una busara ya kusikiliza kwa makini
kinachoendelea kabla ya kutoa uamuzi

iii. Unapoongea kitu, hakikisha hakieleweki sawasawa hii itakufanya usiwe na ugomvi na
mtu yoyote

iv.Ukiona kuna swala gumu na huna jibu, anzisha hoja ya kutengenezwa kwa kamati
ndogo ya kushughulikia tatizo hilo

v. Uwe mtu wa kwanza wa kutoa hoja ya kuahirisha kikao. Hii itakufanya upendwe na kila mtu maana wanakamati wote hutaka kikao kiishe lakini wanaogopa kusema

You Might Also Like

0 comments: