WANAWAKE SOMENI HAPA JINSI YA KUMFANYA MWANAUME AWE WAKO
1. Mpe mapenzi ya dhati na hakikisha anakufurahia
2. Kamwe usimuulize yuko wapi au anaenda wapi
3. Mpikie chakula kizuri kila mara kwa kumbadilishia bila kuumuuliza napenda kula nini..
4. Kama ana mtoto au watoto wasio wako wapende zaidi kuliko uwezavyo
5. Usimuulize kuhusu wapenzi au mpenzi wake wa zamani yeye anajua yupo na wewe upon aye kwahiyo toa pua yako kwenye kuchimba mambo ya kale
6. Fanya majukumu yako ya nyumbani kama usafi wa nyumba nguo na kila kitu
7. Kamwe yaani kamwe nasema usije angalia meseji kwenye simu yake, mitandao yake ya kijamii kwenye meseji zake
8. Kamwe usimsukume kufanya yale asiyoyapenda
9. Kamwe usimsifie mpenzi wako wa kale au mambo yanayoendana na hayo
10. La mwisho kila siku uwe wewe aliyekupenda tangu mwanzo.. usijilazimishe kwa kuwa na hali isiyo yako na utaufurahia uhusiano wenu ( kama alikupenda kwa kuwa una rangi nzuri baki nayo hiyo, na kama ulikuwa haupayuki payuki baki hiyo hivyo)
0 comments: