Binti anusurika kubakwa

10:22:00 Unknown 0 Comments


Kuna binti mmoja alitoka shuleni kwa kuchelewa na kuamua kukatisha njia ya mkato ili afike nyumbani mapema.

Njia hii aliyoamua kuipita ilikuwa inapita katikati ya msitu mmoja mnene na wa kutisha sana.Hivyo binti akaamua kuipita ile njia.

Akamwona kwa mbali mwanaume mmoja wa miraba minne akiwa kasimama kama anamsubiri mtu. Binti akasali akisema , " Mungu wangu, tafadhali naomba niongoze nipite katika msitu huu wa kutisha salama na bila kudhuriwa na mtu wala kitu chochote , AMEN!"

Binti akatembea katika ule msitu wa kutisha mpaka akafanikiwa kumpita yule mtu na kufika nyumbani salama bila kudhuriwa na kitu chochote.

Usiku akiwa kakaa anaangalia taarifa ya habari, akamwona yule mtu akiwa kashikwa na polisi kwa kubaka na kuua mabinti zaidi ya wanne siku ile kwa ajili ya ushirikina.

Polisi wakasema kwa waandishi kuwa yule mtu alikiri pia kuwa kuna binti mmoja alipita pale masaa kadhaa yaliyopita.

Walipomuuliza kwa nini hakumshika huyo binti? Akajibu alikuwa akisindikizwa na mwanaume mmoja ambaye alionekana kuwa na nguvu zaidi yake na kumfanya ahofie kupigwa au kudhuriwa.

Daima Mungu anatembea nasi kila sehemu nyakati zote hata pale tunapojisahau kuomba ulinzi wake.

Zaidi ya 95% ya watu watausoma ujumbe huu na na kuudharau bila kuandika chochote kwa kuwa wanaamini wao ni lazima walindwe.

Asilimia 5 ya watu watafurahi na kukumbuka kuwa Mungu anawalinda kila daima hata pale wanapojisahau kuomba na kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha.

Ni watu hao watakao comment neno AMEN kufurahia ukuu wa Mungu katika maisha yao na kuanza sasa kumshukuru Mungu kwa kila wafanyacho maishani mwao.

Samahani, Sikuwa na chaguo kwa kuwa mimi ni mwana nimtegemeaye Mungu ! Nilitamani kutumia mtego huu kuona nani ana wafuasi wengi hapa facebook kati ya Mungu na shetani.

Kama waamini Mungu ana wafuasi wengi hapa facebook basi Comment AMEN na share ujumbe huu kwa watu 10,

Kama ni shetani basi wewe na wenzako mtaipita post hii bila kuandika chochote.

Naomba nisali kwa ajili yako:

1) Utapokea msaada kutoka kwa mtu usiyemtegemea, AMEN!
2) Hakuna ambaye atakudharau na kukuhukumu vibaya, Amen!
3) Utabarikiwa na Mungu kwa baraka nyingi na hautakuwa na shida , Amen!
4) Kila mtu ataufurahia uwepo wako na utaitwa mbarikiwa, Amen!
5) Kila mkono utakaoandika AMEN na kushare post hii utapata amani, Amen!
6) Nafsi itakayo nena AMEN itapokea baraka, Amen!

Hakika MUDA mfupi kabla ya mwaka huu kuisha MUNGU atakutendea miujiza ya baraka na shida zako na matatizo yako yatajibiwa kwa kuwa MUNGU yupo pembeni yako akikutafutia jibu kwa muda muafaka.

like Tabasamu na Fuledi kusapoti kazi hii na share mawazo yako via whatsapp 0713317171

You Might Also Like

0 comments: