NItapenda kuitumia nafasi hii kuonesha kuwakubali na kutambua uwepo watu wafuatao:

21:11:00 Unknown 0 Comments



1. Wanawake wote ambao mpaka sasa bado ni mabikira

2. wanaume wote na wanawake ambao mpaka sasa bado wako single na wanafuraha huku wakiamini kuwa muda muafaka watakutana na mtu mwema

3. Kila binti ambaye hakufikiri kutoa mimba baada ya kugundua ni mjamzito

4. Familia zote ambazo bado zina upendo hata kama hazijabahatika kupata watoto

5. Wale wote ambao wana ujasiri wa kusonga na maisha hata baada ya kupoteza mzazi mmoja au wote

6. Kwa wale wote ambao bado wanaamini kuwa wapenzi wao wasio waaminifu watabadilika na kuwa waaminifu kwao

7. Kwa wanawake au mabinti ambao hawajawahi kuwa na mahusino na mme wa mtu

8. Kwa wale wote walioamua kuachana na wapenzi wao baada ya kuhisi wasingekuwa waaminifu kati mahusiano yao

9.Kwa wale wote ambao wamekuzwa na mzazi mmoja na bado wanaheshima kwa mzazi au mlezi

10. Kwa wale wanaume ambao baada ya kuharibu bikira ya binti walibaki nao na kuja kuwa familia moja

11. Kwa wale ambao wamefiwa na wapenzi wao na bado wakawa na ujasiri wa kuzikuza familia zao kwa maadili

12. Kwa wale wote ambao wamemkubali Mungu katika maisha yao na muda huu wanasoma post hii na wataishare

Namwomba Mungu azidi kuwapa furaha katika mioyo yenu na mzidi kuwa na amaini

KUmbuka Kitabu cha BOMA kitakuwa mtaani tarehe 1/11 na kitambu cha Simu ya Ajabu kitakuwa mtaani 1/12 weka oda ya nakala yako sasa kwa namba 0713317171

You Might Also Like

0 comments: