Fuledi sasa kusikika radioni....... wakazi wa tanga kaa tayari
Asante sana radio Mwambao fm redio kwa kutambua kipaji changu na hasa hasa kaka mkuu Carello Ahmad kwa kunitambua na kunielewa zaidi.
Asante sana kwa Pendo Cuthbeth, Chant Bizzy, Mussa Stambuli, Edina Mnyanjala, Laurian Lawrence Amas Chacha, Prence Cy Massawe kwa kuwa nami na kuamini kuwa Tabasamu na Fuledi sio tu ujinga ila inatupa furaha na amani.
Kwa furaha niliyoyayo muda huu nitaisikilia hadithi yangu nzuri kupitia
https://soundcloud.com/mvumbagum/mahaba-niue-penzi-la-dhati na kisha nitaenda Karibu Mbeya
https://soundcloud.com/mvumbagum/mahaba-niue-penzi-la-dhati na kisha nitaenda Karibu Mbeya
0 comments: