Heeeeee wewe mganga wataka kunifanya nini asubuhi yote hii?

07:32:00 Unknown 0 Comments




Binti mmoja hapa jijini Mbeya akaenda mganga mmoja maarufu kwa utabiri ili kumwomba ampe dawa ya kumfanya awe mtabiri

Baada ya kufika kwa mganga na kumwelezea kilichompeleka, mganga akamtoa wasiwasi na kumwambia dawa keshapata na mganga akainuka kwenda kuifuata.

Mara mganga kaja na kondomu na kuanza kuivalisha kwenye uume wake.

Yule binti kadakia heeeeee wewe mganga wataka kunifanya nini asubuhi yote hii?

Mganga akamjimbu hongera sana naona ushakuwa mtabiri.

Huyu mganga unaweza kumwitaje kwa lugha ya kwenu?

You Might Also Like

0 comments: