Maisha ya DAR mnayaweza wenyewe!
Sie tukae tu huku shamba ambako tunamchinja Kuku na kuliwa nyumba hiyo hiyo.
Huko Dar Kuku anachinjwa Kinondoni, Shingo inaliwa Tandale, Bawa linaliwa Manzese, Kidari tabata, Paja Magomeni, Firigisi Kigogo, Miguu Mbagala, Mbavu Mwananyamala, Utumbo Gongolamboto, Mavi yanaenda Kibasila Mchicha!
Karibu Dar..!!
Karibu Mbeya shared a link.
Green Lodge ni Lodge bora na ya kisasa, inayopatikana jijini Mbeya maeneo ya Tazara iyunga njia ya kwenda Songwe airport.
0 comments: