MASHINE KUBWAAA

10:22:00 Unknown 0 Comments

Mzee mmoja ya miaka 80 alioa kabinti ka miaka 21. Baada ya mwaka binti akajifungua mtoto wa kwanza, mzee akawa anapita na kujigamba kuwa yeye mashine kubwa. Baada ya miaka miwili binti akajifungua tena mtoto mwingine, kabla hata hajamuona mtoto akapita mitaani tena akijisifu tena kuwa mashine kubwa. Alipofika hospitali akamkuta nesi, 
Mzee: Nesi mashine kubwa nimefika wapi mali zangu?
Nesi: Mzee mashine yako inatumia mafuta ya Kichina?
Mzee: Kwanini unanuliza?
Mzee: Badilisha mafuta maana safari hii kazaliwa Mchina

Je una biashara au huduma ambayo ulitamani tukutangazie bure?

Kama jibu ni ndiyo basi tupigie kupitia namba 0767180916 au 0684868191
Photo: Je una biashara au huduma ambayo ulitamani tukutangazie bure?

Kama jibu ni ndiyo basi tupigie kupitia namba 0767180916 au 0684868191
328 people reached

You Might Also Like

0 comments: