Wengi wa waliokuwa MASIKINI na kuja kuwa MATAJIRI hawasemi ukweli kuhusu MAFANIKIO yao!

10:17:00 Unknown 0 Comments

Wengi wa waliokuwa MASIKINI na kuja kuwa MATAJIRI hawasemi ukweli kuhusu MAFANIKIO yao! Haiwezekani mtu uanzie kuuza njugu eti leo unamiliki kituo cha mafuta,bila kuiba! Bila kuwezeshwa,bila kukopa,bila kufanya ujangili.nasema HAIWEZEKANI hata! Eti ulianza kuuza mchele wa ndonya leo umejenga gholofa Kariakoo kutokana na mchele wa ndonya bila kupata mtaji wa kununua mchele wa magunia na kuongeza mtaji! Hiyo haipo. Tusidanganyane hata! Kuuza sigara moja moja kwenda umiliki wa mabasi ya abiria bila kupora bank? Mtaji wa sigara paketi 2 hauwezi hata kununua pikipiki.Bila kubomoa kiwanda? Bila kukopa kwa bank!? No! Wengi hawasemi ukweli.tuambiane tu kama mlikopa wapi,au ulipewa mtaji au ulshinda bahati nasibu.

You Might Also Like

0 comments: