Mwanaume unapokuwa nae Kuna mambo makuu matatu ingawa yapo mengi ya kumfanyia ili akupende na kukuona we ni tofauti na Wanawake wengine.
Mwanaume unapokuwa nae Kuna mambo makuu matatu ingawa yapo mengi ya kumfanyia ili akupende na kukuona we ni tofauti na Wanawake wengine.1. Heshima! Ni kitu muhimu sana ambacho Mwanaume anapaswa kupewa na Mwanamke! Na mwanaume anajisikia raha sana kama mwanamke aliye nae anaheshima na anamheshimu yeye pia.
2. Uwajibikaji na Mawazo chanya...hapa mwanaume hupenda sana mwanamke ambae anafikiria mambo ya mbele na ya maendeleo kuliko kukalia starehe tu...na hakuna mwanaume ambae anapenda mwanamke anayependa starehee.
3. Kukumbukwa! Mwanaume anapenda pia kukumbukwa! Unapomtumia MSG au kumpigia na kumwambia kuwa umemmiss ni jambo jema..lakini kumbuka usimlazimishe aseme kwamba i miss you too. Mana kila mmoja anamda wake wa kummiss mwenzake.
Karibu Mbeya shared a link.
Shule bora na nzuri kwa elimu ya mwanao
0 comments: