Binadamu huwa hawakosi maneno kila kukicha...
1. Ukiwa single watakuuliza...... kwanini huna GF au BF??
2. Ukiwa na mchumba..... watahoji mmekaa sana mwaoana lini??
3. Ukioa utasikia............. mbona hamzai nyie twataka wajomba na shangazi..!!
4. Mkizaa watakuja na hii..... mtoto kakua mtafutieni dada au kaka yake!
5. Ukimtafuta....... utasikia mbona mnazaa haraka haraka hamuogopi maisha.??
BE PROUD OF WHO U ARE AND DON'T CARE ABOUT WHAT PEOPLE THINK ABOUT U. YOU SHOULD DECIDE HOW TO LIVE...!:
46 people reached
Karibu Mbeya shared a link.
HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA “SIMU YA AJABU ” Season 6
71 people reached
Karibu Mbeya shared a link.
Advertising Mbeya, ni jarida linalomilikiwa na kampuni ya Jukwaa Huru Media, likiwa ni jarida mahususi la matangazo kwa biashara zilizopo katika mkoa wa Mbeya
284 people reached
434 people reached
Facebook ilivyonikosesha raha 12
Ilikoishia jana
Kakaaa, Hata kabla ya kumaliza kusema neno kaka vizuri simu ilikatwa na hapo sasa hasira ikanipanda na kusema sasa naenda kuchukua ile sanda chini ya kitanda na kwenda kumpelekea kaka na ku... See More
Ilikoishia jana
Kakaaa, Hata kabla ya kumaliza kusema neno kaka vizuri simu ilikatwa na hapo sasa hasira ikanipanda na kusema sasa naenda kuchukua ile sanda chini ya kitanda na kwenda kumpelekea kaka na ku... See More
140 people reached
Karibu Mbeya shared a link.
#Changamkia DILI kampuni ya Video T Motion films works iliyopo Mbeya inahitaji video models wa kike
549 people reached
Karibu Mbeya shared a link.
Je, una shauku ya kutambua vipaji na uwezo mkubwa wa kutengeneza maisha bora unayoyataka uliomo ndani yako?, Je unataka kuzijua tabia 5 za msingi zinazoendesha maisha ya wote waliofanikiwa na zinazowafanya wafanikiwe sana?
0 comments: