Nyakati 10 za furaha katika maisha
1. Kumaliza mtihani wako wa mwisho.
2. Kuamka asubuhi na kugundua bado umebakiwa na dakika 15 za kuendelea kulala.
3. Kupokea simu kuwa kipindi darasani kimeahirishwa.
4. Kukutana na rafiki yako wa zamani na kuhisi mambo bado hayajabadilika.
5. Kugusa au kushika vidole na mikono ya mtoto aliyezaliwa
6. Kutembea peke yako katika barabara iliyokimya na kuanza kujiwa na kumbukumbu za mambo ya zamani.
7. Kuendesha baiskeli huku mvua inanyesha
8. Kukaa peke yako na kuendelea kutabasamu ukihisi kuna mtu anakuchungulia
9. Ukimya na upole unaokuwa nao ukiwa unamwomba Mungu au kusali.
10. Upata cake ya bure kutoka http://karibumbeya.com/…/pata-cake-ya-upatanisho-ama-msamah…
11. Na ya mwisho ni "muda huu" unaposoma hii post kuna tabasamu imeutawala uso wako
0 comments: