mambo 9 ya msingi ambayo vijana wanataka kuwaambia wanawake wote single hapa facebook.

10:28:00 Unknown 0 Comments


1. Kama unampenda mtu jitahidi kuwa muwazi kwa kumwambia mtu. Kwa sasa tumechoka kusoma hisia zenu maana ni ngumu kutambua feki na real

2. Kama humpendi mtu, mwambie ukweli kuliko kuleta michezo ya kucheza na hisia za watu 

3. Kila mara jaribu kuwa wewe, na furahia utofauti wako na wenzako hivyo acha kuwa mtu tofauti na ulivyo kwa kujivika maisha na hali usiyoimudu... utaumbuka

4.Ukiombwa kwenda out jaribu kuwa muwazi pia kwa kujibu hata kama jibu ni hapana wewe jibu kuliko kuwa na ahadi feki

5. Usijaribu kujifanya wewe mgumu sana, amini kuwa na aibu kwa mwanamke ni kivutio kwa wanaume wengi na hupenda sana ..sasa wewe enedelea kuwa mgumu

6. Kumbuka na sisi ni binadamu hivyo tunafanya makosa na kama tukiomba msamaha basi jaribu kuelewa


7. Mtituhukumu wanaume wote kwa kosa lililofanywa na mmoja wetu, kila mtu ana utofauti hivyo jaribuni kutuelewa

8.Kumbukeni na sisi tunawahitaji na kuwategemea hivyo tutegemeane pia

9. Kuwa mpole kama hujatolewa out kwa muda mrefu, wewe amini kuna sababu ya hivyo

You Might Also Like

0 comments: