NAFASI ZA MASOMO KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE NA SITA.

11:05:00 Unknown 0 Comments


Wadau Changamkieni fursa,Kozi ni Cert & Diploma katika,Journalism,Records management,Nusery School teaching,secretarial duties and Office practice na Computer Application ambayo ni kozi fupi ya miezi 3.

Chuo kinatoa mafunzo kwa vitendo zaidi.Na wahitimu wanaunganishwa na ajira.

kama sio wewe utakayesoma mlete mdogo wako,shangazi,mjomba nk.ajipatie elimu na mafanikio katika maisha.

You Might Also Like

0 comments: