Njia 10 za kuuteka moyo wa mwanamke

15:58:00 Unknown 0 Comments



1. Mpigie simu unapojisikia huna furaha ili akuliwaze na kuwa jirani nawe.

2. Mwombe akupe picha zake wakati akiwa bado mtoto mdogo..!

3. Mara moja moja mwite kwa jina lake la kwanza au la katikati,

4. Anapoonyesha dalili za kuwa na hofu; "Mtazame machoni mwake na kumwambia , hakuna mtu duniani aliye na uwezo wa kutatua na kutekeleza mambo kwa ufasaha kama alivyo yeye.."

5. Mwite kila mara ukishamaliza majukumu yako ya siku ili uwe naye.. Siku zote hungojea nafasi hiyo kwa hamu..

6. Mfanye afurahi kwa kumchekesha kila unapohisi hayupo sawa au kuna kitu kinampotezea furaha.

7. Katikati ya mazungumzo mwambie unampenda sana na unafurahia kuwa naye.

8. Jitahidi kumchunguza akiwa kavaa kitu kipya au stlye mpya ya nywele zake na onyesha kuvutiwa na kumpa hongera

9. Mkumbatie ukihisi anaona wivu na mfanye aone yeye yuko pekee katika moyo wako..

10. Mshike kwa mikono yako mwilini mwake kila unapomtambulisha kwa marafiki wapya na atafurahia.

Je yana ukweli wowote haya?

Share na like Tabasamu na Fuledi

You Might Also Like

0 comments: