NYIE MABINTI ...........MASWALI MENGINE MTATUUA

15:56:00 Unknown 0 Comments




1.Una Ma-Ex wangapi hadi leo??Ukimtajia,khaa wengi hivyo jamani,kwanini??


2.Na huyo Ex wako kwanini mliachana,nani alikuwa mkorofi kati yako wewe na yeye??


3.Unanipenda kweli au unataka kunichezea???Kwani we umekuwa mdoli jamani


4.Mara ya Mwisho kuduu ilikuwa lini??,khaa jamaniii...


5. mimi niwangapi kwenye mahusiano yako?


6.utaweza kutimiza mahitaji yangu?


7.Unakunywa pombe na kuvuta sigara?


8.unafanya kazi gani, unapenda vitu gani?


9. Umejenga?


10.Kwann unipende mm wakati wasichana wengi na warembo kuliko mm wapo?


11.Unanipenda kweli au unanilaghai?


12.Unazo funguo tatu,?? (ya kazini, ya nyumba na ya gari)


13.umenipenda kivip kama rafiki au?


14.Nyie wanaume waongo sana, ivi kweli utanioa? au umevutiwa naumbo langu tu ili kunichezea baada ya hapo unimwage? au inakuwaje


15.Una future na mimi au?na unatarajia kuoa lini?utanitambulisha kwa ndg zako lini au unaogopa?


16.we unaxoma??au unafanya kazi gani??


17.hivi umenipenda au umenitamani?


18.utanioa kweli au unanichezea kama hao?


Jamani,Unataka kudate na mimi au unataka Uanzishe Mboni Show ya Maisha yangu na kuandika Documentary???

You Might Also Like

0 comments: