Aina za watu ambao hawapatikani sehemu yoyote ile zaidi ya Facebook

11:55:00 Unknown 0 Comments




1.Yupo na usafiri wa fuso kwenda dar lakini post yake FB kaandika " On my way to airport, Dar here i come"

2. Yuko kwa mama ntilie anakula lakini kapost " Having my juice at Samaki samaki karibuni friends"

3. Hana kazi wala hajajiajiri ila profile inaonyesha yeye ni Director wa kampuni fulani

4. Demu anapost picha mbaya laini hakuna wa kuponda zaidi ya kusema wow you looks sexy.

5. Mtu anapigia picha nyumbani kwa rafiki zake na kudai i love my house

Ongeza na wewe




Mambo 9 ya msingi ambayo vijana wanataka kuwaambia wanawake wote single hapa facebook.
1. Kama unampenda mtu jitahidi kuwa muwazi kwa kumwambia mtu. Kwa sasa tumechoka kusoma hisia zenu maana ni ngumu kutambua feki na real
2. Kama humpendi mtu, mwambie ukweli kuliko kuleta michezo ya kucheza na hisia za watu
3. Kila mara jaribu kuwa wewe, na furahia utofauti wako na wenzako hivyo acha kuwa mtu tofauti na ulivyo kwa kujivika maisha na hali usiyoimudu... utaumbuka...
See More
If you are interested in advertising on our free of charge Karibu Mbeya site, please contacts us: Cell: 0713317171 Email: sales @karibumbeya.com
KARIBUMBEYA.COM

You Might Also Like

0 comments: