Binti wa namna hii lazima akufanye hasira ipande na kuishia yenyewe
11:57:00
Unknown
0 Comments
11:57:00 Unknown 0 Comments
Morgan:baby nataka tuhave sex
Asteria:saa hivi ama badae?
Morgan:saa hii
Asteria:kwa bed ama kwa sofa??
Morgan:kwa sofa
Asteria:2 seater ama 3 seater?
Morgan:ama twende kwa bed tuu..
Asteria:juu ya sheets ama chini ya sheets
Morgan:juu ya sheets...
Asteria:na condom au kavu?
Morgan:Na condom
Asteria:dume au salama??
Morgan:salama....
Asteria:ile flavored au normal???
Morgan:flavor......
Asteria:banana flavor ama strawberry?
Morgan:strawberry...
Asteria:uko nazo ama waenda nunua?
Morgan:ntaenda shop
Asteria:kwa Mangi au kwa mpemba?
Morgan:au basi tukiss tuu....
Asteria:mdomon au shavun???
Morgan::huo usenge sasa.....
Asteria:usenge mwingi au kidogo???
Morgan:by the way nshaakupiga chin ngoja nsake dem mwngne....
Asteria:mref au wa height yangu???
Morgan:toka hapa toka kwenda...
Asteria:hutak tena sex???
Morgan:kwasasa ntamustarbate tuu...
Asteria::na sabuni ama na vaseline??
Morgan:Acha ujinga kafie mbele
Mambo 9 ya msingi ambayo vijana wanataka kuwaambia wanawake wote single hapa facebook.
1. Kama unampenda mtu jitahidi kuwa muwazi kwa kumwambia mtu. Kwa sasa tumechoka kusoma hisia zenu maana ni ngumu kutambua feki na real
2. Kama humpendi mtu, mwambie ukweli kuliko kuleta michezo ya kucheza na hisia za watu
3. Kila mara jaribu kuwa wewe, na furahia utofauti wako na wenzako hivyo acha kuwa mtu tofauti na ulivyo kwa kujivika maisha na hali usiyoimudu... utaumbuka...
See More2. Kama humpendi mtu, mwambie ukweli kuliko kuleta michezo ya kucheza na hisia za watu
3. Kila mara jaribu kuwa wewe, na furahia utofauti wako na wenzako hivyo acha kuwa mtu tofauti na ulivyo kwa kujivika maisha na hali usiyoimudu... utaumbuka...
If you are interested in advertising on our free of charge Karibu Mbeya site, please contacts us: Cell: 0713317171 Email: sales @karibumbeya.com
KARIBUMBEYA.COM
Fuledi Mwagito
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.



0 comments: