BAADHI YA MAGONJWA YA FACEBOOK NA DALILI ZAKE

10:22:00 Unknown 0 Comments

BAADHI YA MAGONJWA YA FACEBOOK NA DALILI ZAKE
1. KASWENDE
dalili - mgongwa huwa na tabiaa ya kulike status na picha ambazoo hukutana nazo mara kwa mara .......
2. MARALIA:
Dalili - mgonjwa yeye hapendi picha za kuvutia au Status wanazokutana nazo ,wakiwazaa kuwa likes zao zitaishaa....
3. KIPINDU PINDU
Dalili- mgonjwa huwa ha logg on humu facebook baada ya muda mrefu ,na aki logg on baadae hu log out ,kisha ku logg on tena baada ya wiiiki tatu au nne ... me huwazaga labda wanakuwa wanaona aibu.......
4. KIFUA KIKUU
Dalili - mgonjwa anapenda awe anakuwa tagged ktk kila picha atayoo kutana nayoo....
5. UKIMWI
Dalili - mgonjwa nduguu acha tuh yeye huwa anapenda ku update status za kuhuzunishaa mfano utaskia " nachukia Mapenzii " "nachukia Maisha yangu...........
6. MAFUA
Dalili - mgonjwa yeye hupenda tuma friend reqst kwa kila atae jitokezaa bila kujali dini ,ligha ,kabilaa wal utaifaa..........
7. RED EYES
Dalili - wagonjwa wao hupendaa coment wao kwa wao ktk post zao ktk kila wakikutana.....
8. KISUKARI
Dalili - twagonjwa hupenda comment upumbavu au majungu ktk post za watu wengine ....
9. KIFUA KIKUU T.B.C
Dalili- mgonjwa yeye hupenda kutoaa post zao mara tuh pale zinapo pata "likes" chache ,hakuna alie comment au mda mwingine hakuna "likes''
10. KICHOCHO
Dalili- wagongwa hawa wao hawawezi kukaa masaa 24 bila kuwaza facebook ......
11. VIDONDA VYA TUMBO
Dalili. wagonjwaa hupendaa copy na kupest status za wenzao ili wapate likes na waoo kama wewe uta copy hii yangu muonee.....
12. KICHAA CHA MBWA
Dalili- Mgonjwa anakomenti matusi kila sehemu hata kama mtu anaomba msaada.
KUJIKINGA NA MAGONJWA HAYA:
Magonjwa haya waweza kujikinga pengine kupona kabisaa kama utafanya kinyume chakee kwa yotee hayoo

You Might Also Like

0 comments: