14:52:00 Unknown 4 Comments
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.
Acheni kuweka matangazo ya kisiasa..... tangazo la gari halina budi kuambatana na taarifa za umri wa gari (mwaka wa usajili au kutengenezwa), umbali uliotembea (odometer reading), ukubwa wa injini, rangi ya gari nk..... haitoshi kusema bei sawa na bure wakati hatujui taarifa tajwa hapo juu..... mfano Million 13.5 inaweza kuwa bei aghali kwa Verossa iliyotembea kilomita laki 3
ReplyDeleteHiyo 'too' ulimaanisha 'tu'? ahahahahhaha..... uduni wa tangazo unaweza kimbiza mteja makini
Tunakushukuru kaka kwa maoni yako
ReplyDeleteTino pole sana ndugu yangu na samahani wakati wa kuingiza picha kulitokea na hitilafu,lakini sasa nimeweka picha. Naomba samahani kwa hilo
ReplyDeleteNaomba kuona picha ya seat ya dereva kama ni leather? hahahaaa....pics na info zaidi tafadhali
ReplyDelete