Mbwembwe za mabinti wa mjini
Abble: Hello switie mambo vipi?
Sara: Nipo pouwa sana bby nakumisije?
Abble: Beyb uko instagram?
Sara:Hapana hny nipo city pub then nitaenda vibes vipi utakuj?
Abble: Instagram nauliza?
Sara: Sipo huko hny, vipi ndio kiwanja chako kipya? Labda ukinifuata nitakuja

Hahahaha lugha gongana
ReplyDelete