"Unaona umeshaanza kuwa na akili
Mtoto mmoja mzaliwa town alienda kijijini na baba yake,wakiwa njiani mtoto akaona mavi ya mbuzi,akashangaa na kumuuliza babake"Baba hiki nini?"
Baba yake akajibu,
"Vidonge vya akili hivyo ukila vinaongeza akili"
Mtoto akachukua akatia mdomoni,baada ya muda kidogo akatema, akamuambia babake
"Baba mbona vinaoharufu kama mavi?"
Babake akajibu
"Unaona umeshaanza kuwa na akili"
0 comments: