Ungekuwa ni wew ungefanya nn?

16:47:00 Unknown 0 Comments

Ilitokea Tanga,

Jamaa alikuwa na demu wake walikuwa wakiishi wote Tanga ingawa walikuwa bado hawajaoana(cohabitation). Jamaa akapata kazi Mbeya na hivo kwenda kazini. Walikuwa wakipigiana simu mara 5 kwa siku,ikaanza kupungua hadi kufikia mara 3 kwa week na eventually mawasiliano yakapotea kabisa.Jamaa akipiga simu,demu kaizima na kabadilisha hadi line. 

Jamaa akapotezea aki hope kuujua ukweli muda utakapofika. Baada ya miezi sita akapata likizo na hivyo kurejea Tanga,alipofika mlangoni alikutana na binti aliejitambulisha kuwa yeye ni mdada wa kazi wa mle ndani na haruhusu watu kuingia ovyo ovyo ndani.Jamaa akajitambulisha kuwa yeye ndo mwenye nyumba na hivyo akaingia ndani kwa lazima.

 Jioni huyo demu wake akarudi na kushangaa kumuona jamaa yuko pale...basi! Usiku jamaa akamuomba huyo demu wake waoge wote,demu akachomoa na kumwambia jamaa kuwa aoge yeye kwanza(demu) then akimaliza boy ndo afuatie,jamaa akaona okay! anatoka bafuni anakuta demu wake kavalia jacket! 

Muda wa kulala jamaa akamuomba demu sex,demu akachomoa na kudai hajisikii! Later jamaa akajua kuwa demu ana ujauzito na ndo maana kavaa jacket na kukataa kuoga nae. Kulipokucha asubuhi(jumamosi)mida ya saa mbili,akaingia mtu straight hadi chumbani walipolala na kumuuliza jamaa kuwa yeye ni nani hadi alale na demu wake,jamaa(alekuwa Mbeya)akajieleza,na huyu aleingia nae akajieleza na kudai kuwa huyo ni demu wake na hapo alipo ana ujauzito wake. 


Mshikaji(mwenye demu)akamwambia­ demu kuwa wamekuwa wote kwa muda wa miaka mitatu hivo basi ni vibaya kama wangeachana bila demu kufaidi chochote katika mahusiano yao so akamwambia achukue kila kilicho ndani ya nyumba(tv,sofa,kitanda etc) na yeye amwachie nyumba tu. 

Basi demu akabeba kama alivyopewa na kuhamia kwa mtu wake mpya! Jamaa kesho jumapili akaenda Dar ili kesho yake arudi Mbeya,aspend likizo Mbeya!!! Muda wa kujifungua demu ukafikia na demu akajifungua albino(zeruzeru) boy wake mpya akamkataa demu na kudai kwao hakunaga maalbino so ukoo wao hautomwelewa! demu akafukuzwa.......so anamuomba msamaha boy wake wa zamani(yuko Mbeya)..
wewe ndo boy unaombwa msamaha sasa......utafanya nn?

You Might Also Like

0 comments: