BREAKING NEWS!!!!!!!!! Hatimaye Moyes abwaga manyanga
habari nzuri kwa wapenzi na mashabiki wa MAN UTD,hatimaye David Moyes amekaa na familia
yake na Bodi ya wakurugenzi wa Man utd na kuamua kwa moyo mmoja kujiuzulu..
alisema ''sijutii maamuzi yangu kamwe nimeona nichukue fursa hii kujiweka pembeni kwa manufaa ya club kutokana na mwenendo mbovu wa timu"
Alisema kocha wa MAN UTD ya MUHEZA MJINI TANGA ABDUL KIDOA A.K.A DAVID MOYES

Hahahah tunaisubiri MAN UTD ya ukweli
ReplyDelete