Amri kumi za kiongozi bora na asiye mnoko kazini
1. Kuwa mdadisi wa mambo ili kuongeza uwezo wa kuwaongoza wenzako kwa matokeo mazuri
2. Kuwa mbunifu na mpe kila mtu nafasi ya kuonyesha uwezo wake
3. Kuwa mwelewa na ambaye unaweza pia kutumia njia rahisi kuwasilisha mawazo yako
4. Kuwa mtu ambaye unaweza kuonyesha kuwa hili ni baya au zuri na kuwafanya wenzako waelewe pia kwa vitendo
5. Kuwa mtu wa kuwapa nguvu na imani wenzako kuwa wanaweza na kuwasahihisha kwa njia chanya
6. Kuwa na kipaji au hekima za kuwafanya watu wakufuate wewe na kukuelewa
7.Kuwa mtu wa kuaminika na kutumainiwa
8. Kuwa mchapakazi hodari wa kuigwa na wenzako
9. Uwe mtu wa kutokukurupuka katika maamuzi
10. Weka mazingira ya kuamini katika mawazo madogo yenye matokeo makubwa
0 comments: