Watu wenye simu za Smartphones wako katika hatari ya kukumbwa na mambo 12 ya hatari katika maisha yao
1. Watu watakuchukia unaposhindwa kujibu text zao haraka bila kujua wewe simu inakushinda kujibu haraka
2. Ni rahisi kukosea text na kumtumia mtu asiye sahihi jambo ambalo ni hatari kwa mahusiano
3. Unapokosea kuandika text watu wata screenshot jambo linaloweza kukupa aibu
4. Kuna watu wao watajifanya kutopata text zako jambo ambalo laweza sababisha ugomvi
5. Text zako za siri zinaweza kuwa post kwenye wall za watu hasa baada ya kufumwa
6. Pia waweza umbuka kwani kila computer unayoomba kuchaji huweza kusave data zako zote na ikawa shida
7. Zinaweza kumfanya mtu anonekane mbaya tofauti na picha zake alizojipiga jambo ambalo limevunja mahusiano mengi na linaendelea
8. Kuna kipindi unaweza kutuma text zenye maneno ya matusi kwa bahati mbaya kutokana na suggestions za text
9. Simu yako inaweza kujipiga na kumpigia mpenzi wako wakati wewe unaongea na mchepuko mwingine bila wewe kujua
10. Na kama imejipiga na ukadakwa usidanganye kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuwa sauti imehifadhiwa
11. Usije ukafikiri ukisahtuma text au picha kwa bahati mbaya unaweza ukairejesha ujue hapo ni janga
12. NA kama ukijikuta umekumbwa na mambo mengi kamwe usiogope kwani wengi nao wamepatwa na majanga na wanaendelea kuumbuka kila kukicha
13. Soma jambo la ziada HAPA
0 comments: