Haya sasa ushuhuda kutoka kwa binti wasambaratisha kanisa
KanisaniMchungaji : Bwana asifiwe!! ndugu zangu leo kama kuna mtu anaushuhuda juu ya miujiza ya bwana basi aje atuambie.
Muumini wa kwanza: Asante sana kwa nafasi, mimi nilikuwa sina uwezo wa kulipa kodi ya nyumba ila baaday ya maombi ya wiki lililopita nikapata msamaria kalinilipia kodi yote.
Mchungaji: Jina la bwana lihimidie na asante kwa ushuhuda, kuna mwingine?
Mtoto wa mmoja wa kike mwenye umiri wa mika 14 akasimama na kusema, hata mimie nimefanyiwa miujiza mikubwa sana. Kila mwezi nilikuwa natokwa na damu huku sehemu zangu za siri na wakawa wanasema naenda mwezini sijui lakini baada ya kuanza kupata maombi na baba mchungaji sasa ni mwezi wa tatu sijapata tena tatizo hile .. Ameen
0 comments: