Relationship hazina adabu,ziko kama Bodaboda,ajali muda wowote tu..
.Usiachane na mpenzi wako wa sasa kwa mbwembwe kisa umepata Kipusa kipya unamwaga shombo na kashfa debe 5...Kisa umepata buzi jipya basi hatuhemi,unabreak up kwa kiherehere,nyodo,na kisebusebu,utadhani huyo mpenzi uliyempata Mwili wake umetengenezwa na Eat Some More Biscuits kwamba ukimbusu anatoa maziwa fresh au jasho lake linanukia juice ya Aloe Vera.....Hakuna jipya,ni mihemko tu ya kipya kinyemi,hana tofauti yoyote ni binadamu tu tena anaweza kuwa worse zaidi ya uliyemuacha.Ukishindwana na mtu muachane kwa amani,huwezijua utamkuta wapi akiwa nani na kwenye position gani...We endelea tu kubreak kwa matusi na kashfa na kuita watu Tumbili pori uje ukutane nae kwenye Interview ndo utajua kama kuna Tumbili ni HR Manager ana ofisi na hana mkia,sura itakushuka kama Bamia iliyooza....
0 comments: