Je unazikumbuka hizi ?
1. Kibanga ampiga mkoloni.
2. Siku ya gulio Katerero.
3. Chilunda apambana na chui.
4. Ndoto za kimweri.
5. Pamela na kipini.
6. Watoto wageuka mawe.
7. Sizitaki mbichi hizi.
8. Brown ashika tama.
9. Lindu amuokoa Kapilima.
10. Pepe huna masikio.
11. Sisimizi shujaa.
12. Tembo na chura
13. Chopeko na mnofu.
14. Tola alia gizani.
15. Tumbo niache.
16. Juma na Roza.
Zinakukumbusha wapi? Usisahau kumtumia salamu mwalimu aliyekufundisha enzi hizo.
Ahaaaaaa
ReplyDelete