JE WAJUA??

16:25:00 Unknown 0 Comments


1. Kuna Kilometa 97,000 za mishipa ya damu kwa kila mtu mzima!
2. Raisi wa pili wa Marekani (John Adams) na wa tatu (Thomas Jefferson) walifariki dunia siku moja, mwaka mmoja, Julai 4, 1826. Ni maraisi pekee dunia waliofariki pamoja.
3. Kama ungeweka swichi ya kuwashia 'bulb' ya umeme iliowekwa kwenye mwezi chumbani kwako, itachukua sekunde 1.26 tu kuiwasha!
4. Nchini Andorra, mwananchi kisheria lazima afikishe miaka 25 ndipo apige kura!
Like kisha share na marafiki wapte kujua

You Might Also Like

0 comments: