MANENO YA WALIMU MASHULENI

16:07:00 Unknown 0 Comments



1: Mkimaliza kuongea, niambieni niendelee kufundisha.

2: Baba yako aliuza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shuleni.

3: Kama unajua kuliko mimi, njoo
ufundishe wewe.

4: Ulikuja peke yako na utaondoka
peke yako.

5: Hata msipoelewa, mshahara
wangu uko pale pale.

6: Baba yako anahangaika kulipa
ada wewe unafanya utumbo tu.

7: Hata nikeshe nafundisha, wengine ni mizigo hawatoki na lolote.

8: Bichwa lako kubwa lipo kwa ajili ya kutenganisha masikio yako.

9: Bichwa kubwa ubongo nukta.

10: Wengine hapa wamekuja kukua tu.

Unayo nyingine? Mkumbuke mwalimu wako

You Might Also Like

0 comments: