Mchungaji akataa kuwa yeye ni mwana wa Mungu
Jumapili Moja Jambaz liliingia Na bunduki SMG
Kanisan Na Kuuliza:
"Nani humu Ni Mwana Wa Mungu Nimpeleke
Mbinguni Sasa Hivi?"
Wote Kimyaa..
Akapiga Risasi moja Hewani, Paaaaaaahh
Waumini Wakasema:
"Ni Mchungaji Huyo Maana Kila Siku Huwa
Anasema Ye Ni Mwana Wa Mungu"
Jambazi Kwa mwendo wa Madaa Likamsogelea
Mchungaji Uku Limemuoneshea Mtutu..
Mchungaji Akajibu: "Jamani Njama Gani Hizi
Mnanifanyia ndugu zangu? Kila Muumini hapa
Anafaham Mi Ni Mtoto Pekee Wa Mzee Swai,
sasa
mi na Mungu tunahusiana
0 comments: