Najua vitu (10) kuhusu wewe unayeisoma hii post!!
1. Unasoma hii status
2. Wewe ni mtu nadhifu sana
3. Huwezi kutamka neno "P" bila kufumbua mdomo
4. Umejaribu kuona kama utaweza
6. Unacheka
7. Uso wako unafuraha, na umeiruka No. 5
8. Umeangalia kama kuna No.5 kweli umeiruka
9. Unaendelea kutabasamu kwasababu nakupatia
10. Umeipenda hii status, Utaiiba ili nawe ukaangalie nani ataipenda
Like kama umeipenda!!!
0 comments: