TOFAUTI KATI YA NGONO NA MAPENZI YA DHATI

22:05:00 Unknown 0 Comments



1. Ngono sio upendo na upendo hauonyeshwi kwa ngono.

2. Unaweza kufanya ngono na usiwe na upendona unaweza kuwa katika mahusiano na usifanye ngono.

3. Mwanaume anaweza kukuchukia na bado akafanya ngono nawe. Unahitaji kuamua kwa busara.

4. Kutumia ngono kama njia ya kumteka mpenzi wako itakugharimu sana na kukuacha katika huzuni

5. Ni mtazamo hafifu kufikiri kuwa kupitia ngono mwanaume atakupenda.

6. Mpenzi ya kweli au upendo wa dhati hautakulazimisha kufanya ngono.Mpenzi atakaye kulazimisha kufanya ngono ili akupende ni feki na anatakiwa kukimbiwa.

7. Kama atasema ufanye ngono ili akupende, jua anataka kukutumia na kukutupa hivyo mkimbie mapema huyo ni feki.

8. Kujifanya mtumwa wa ngono ni upuuzi, kamwe hutaweza kufurahia maamuzi na kuyachukia.

Amka sasa na like Tabasamu na Fuledi

You Might Also Like

0 comments: