Unapokuwa in relationship jaribu kujiheshmu,kumuheshmu mwenzio pia kuheshimu relationship yenyewe.
Facebook jarbu kuandika status ambazo hazitomkwaza mwenzio.
Kwa mfano :-
~Am heartbroken
wewe ur broken heart wakat mpenzi wako hajui lolote..ndio tuseme umeumizwa na vidumu?
~Sipendi kugandwa.
Mpenzi wako akisoma hiyo unafikiri atajifikiriaje?
~Hapa hapendwi mtu inapendwa pochi.
Mpenzi wako akiona huo ujumbe unafikiri atafikiriaje? unampendea pesa au huna mapenzi?
~nina nyege/hamu
ofcoz siyo ustarabu kuandka fb wakat unae mpenzi.
~Leo najiskia kutongoza tongoza mademu humu fb so nashinda inbox.
hapa mpenzi wako atajiskia vibaya.
~siku hizi hakuna kukaa na demu ni ku hit and run.
Hapa pia mpenzi wako ataumia.
~awwww today i met my crush.
Hapa pia mpenzi wako ataumia.
~relationshp za fb ni kuzugana me hata sichukuliagi serious
pia hapa atajisikia vibaya
~i need new chick this one is boring #teamwhiz #
hapo hata kama umecopy kwny nyimbo ya whiz kwanin uandke fb wakat unajua una demu? Lazma aumie.
Na mengne meng sana cha muhmu ni kujiheshmu tu.
0 comments: