Asikuambie mtu, pesa haina mazoea au urafiki wa kudumu...... jamaa aumbuka kweupeee
Vijana wawili walliosoma pamoja wanakutana baada ya kitambo kirefu.Mmoja akafanikiwa na mwingine yeye hakupata bahati ya kujiendeleza kimasomo hivyo anafanya kazi za usafi na ubebaji wa mzizigo.
Anategemea rafiki atamsaidia fedha lakini rafiki yeye anamsaidia kurekebisha kiatu kilichoachana mguuni na kuondoka
Kupata hadithi, video na picha za kufurahisha na kuelimisha kwa nia ya email tafadhali jiunge hapa
0 comments: