Mzee kauzu kuliko kawaida
Mtoto alitekwa nyara.
Baba kapigiwa simu, Kaambiwa kama wataka mtoto wako lete dola elfu ishirini.
Baba mtu akauliza: Mtoto mnampa chakula?
Mtekaji akajibu: Tunampa.
Baba kauliza tena: Mnampa maji ya kunywa?
Mtekaji akajibu: Tunampa.
Baba kauliza tena: Mnampa pakulala?
Mtekaji kajibu: Ndio.
Baba akasema: Kama ni hivyo, basi njoo uwachukue na ndugu zake waliobaki...
Juiunge na group la fuledi hapa
0 comments: