Jamaa kaenda kwa daktari kumlalamikia kuhusu mke wake kuwa hajafanya nae mapenzi kwa miezi sita.

23:09:00 Unknown 0 Comments

Jamaa kaenda kwa daktari kumlalamikia kuhusu mke wake kuwa hajafanya nae mapenzi kwa miezi sita.

daktari akamwambia jamaa akamuite mke wake ali aweze kuongea nae.

mke akafika kwa daktari, daktari akamuuliza "kwa nini siku izi hutaki kufanya mapenzi na mumeo?".

mke akasema "unajua ni miezi sita sasa tangu nianze kwenda kazini na TAX"

Nakuwaga sina ela, Yule dereva wa Tax ananiulizaga kwamba "utanilipa ela tax au?" kwa iyo mi nachagua "au"

"nikifika kazini nimechelewa bosi wangu ananiuliza, "tuandike muda ulio ripoti kazini au?' nachagua "au".

"nikiwa narudi nyumbani, dereva wa Tax ananiuliza tena "sasa ivi utanilipa au?" nachagua tena "au".

"daktari nadhani unaona, narudi nyumbani nimechoka nakua sihitaji tena kufanya mapenzi"

daktari anakaa kimya na kufikiria alafu anamuuliza mke wa jamaa,
"kwa iyo tumwambie mme Wako kuhusu hili jambo au?"

You Might Also Like

0 comments: