*** MAAJABU YA FACEBOOK ***
** Watu wanaitana beiby/wife/sweety/darling/
** Watu wanaoneana wivu kwa sababu ya LIKES na COMMENTS wakati huko mtaani kuna watu wanaoneana wivu kwa sababu ya PESA
** Watu wanachukiana wakati hawajuani hawafahamiani hawajawahi onana
** kijana akimuinbox demu kwa mara ya kwanza "mambo dear" wengi wao wanajua kijana anataka kuwatongoza
** Masela wakijinga wanaadd sana mademu kwa wingi kuliko masela wenzao
** Msela akikuta message za masela wenzake inbox hajibu au anazijibu kwa uvivu ila akikuta message za mademu anajibu fasta fasta anafurahi sana
** Kuna mademu wameweka humu sehemu ya biashara zao kila msela akimtongoza anamkubalia anaanza kumpiga vizinga
** Humu ndani hadi washamba wanaonekana wajanja humu ndani kuna watu mtaani kwao wanapondwa wabaya ila humu wanasifiwa wazuri
Humu ndani hadi vilaza wanaekti wasomi humu ndani hadi watu wazima wanaekti watoto
FB raha xana
Kuna kingine nimesahau...!?
0 comments: