Wabongo tunatisha kwa hivi vicheko vya kizushi

23:55:00 Unknown 0 Comments



2008 walicheka hv "Hee ALOO"
2009 wakacheka hv "hee UNALOO"
2010 wakacheka hv"hee UTAJIJU"
2011 wakacheka hv"hee UTAJIBEBA"
2012 wakacheka hv"hee KAOGE"
2013 wakacheka hv"hee CHEZEA MIMI WEWE?"
Hii kali ya 2014 wakacheka hv"hee KANTANGAZEEE.

UNADHANI 2015 WATACHEKAJE...!!

You Might Also Like

0 comments: