Mwanaume anapokuwa anamtaka Mwanamke huwa amejawa TAMAA asilimia 98 na LOVE Asilimia 2 tu.

23:52:00 Unknown 0 Comments



Mwanaume anapokuwa anamtaka Mwanamke huwa amejawa TAMAA asilimia 98 na LOVE Asilimia 2 tu...Kuna vitu anakuwa ameviona na anatamani avimiliki...

At this Stage Mwanamke anakuwa ana 0% ya Tamaa na 0% ya Upendo maana kwake yeye ni Receiver...Anategemea vile Mwanaume atampa ili angalau aanze kudevelop kitu inside her...


Mwanamke akishakubali,jamaa anadeposit ile 2% ya Love kama Mtaji kwa Mwanamke...Mwanamke anaupokea ule Mtaji na kuanza kuuzungushia Biashara kwenye Moyo wake...Baada ya muda,Mtaji unakuwa umekuwa na ghafla yule Mwanamke anajikuta anampenda jamaa zaidi kuliko jamaa anavyompenda...


Kumbuka Mwanaume ana Mtaji wa 98% Tamaa,sasa kosea umvulie Nguo,anahamishia Mtaji wote hapo,na biashara anafunga..


Mfanye Mwanaume akuze mtaji muende sawa,ukikosea utajikuta wakati we unafall mwenzio kashaondoa godoro utaangukia kokoto...


Ukitaka Kuharibu biashara yako kwa Mwanaume basi Mkalie Uchi...Utupu wako should be the last thing to give to a woman,sio unagawa tu kama Muuza Karanga anavyoonjesha kijiko cha Karanga ili ununue.......

You Might Also Like

0 comments: