Ona stress za maboss zinavyoweza kuwa neema
Bosi mpya katika construction site aliamua kuonyesha yeye ni mchapa kazi hodari kuliko wa zamani.
Katika pita yake akikagua kazi akamkuta jamaa amelala kivulini muda wa kazi.
Akamuuliza " we kijana kwanini umelala muda wa kazi!!, unalipwa sh ngapi kwa mwezi?"
Kijana akajibu "nalipwa tsh 400,000 bosi".
Bosi kwa hasira akaenda naye mpaka ofisini akamlipa hizo tsh.400,000 na kumfukuza kazi muda ule ule.
Baada ya hapo akaenda kuwauliza wafanyakazi wengine:
Boss: Yule kijana niliyemtimua kazi alikuwa anafanya kazi section ipi?
Jamaa wakamjibu "Samahani bosi unamaanisha yule muuza ice cream aliyekuwa amelala pale kivulini...!?".
Like Tabasamu na Fuledi
0 comments: