MANENO SABA AMBAYO YESU ALIYATAMKA AKIWA MSALABANI NI:

23:48:00 Unknown 2 Comments

1.Baba wasamehe hawa kwa kuwa hawajui walitendalo.

2. Mama mtazame mwanao na mwana mtazame mamako.

3.Msinililie mimi jililieni ninyi na watoto wenu.

4.Eloi Eloi lama sabakthani?
(Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha?).

5.Naona  kiu.

6.Hakika wewe utakuwa nami leo hii peponi.

7.Mikononi mwako baba naiweka roho yangu,imekwisha.

Hapo akakata roho.

Kama umejikumbusha kitu na umeguswa na maneno haya  wakumbushe wapendwa wenzako, kuwakumbusha jinsi YESU alivyoteseka msalabani kwa ajili ya dhambi zetu nawe utabarikiwa.

Share

You Might Also Like

2 comments:

  1. Namushukuru Bwana wangu Yesu Christo kwa kuni fia musalabani na kwa mateso aliyo ya pata ili mimi na wewe tukoke maana isingelikuwa kupigwa kwake na ku mwanga damu yake yenye samani kubwa hapo musalabani hatungeufikia wokovu tulio nao leo, na wala hatungekuwa na tumaini la baadaye. Mwenye Mungu Kubariki mutumishi wake, endelea kuwa mwaminifu mbele yake na hapo ju matunda ya kazi yataonekana

    ReplyDelete