Baada ya kupitishwa sheria ya kuzuia uvutaji sigara migahawani na hotelini, Serikali iliamuru kila wenye migahawa au hoteli kuweka tangazo la sheria hiyo, mambo yalikwenda kama ufuatavyo:
TANZANIA: Baada ya kupitishwa sheria ya kuzuia uvutaji sigara migahawani na hotelini, Serikali iliamuru kila wenye migahawa au hoteli kuweka tangazo la sheria hiyo, mambo yalikwenda kama ufuatavyo:MATANGAZO:
Mgahawa wa Msomali: Habana kufuta dumbago habah,
kama nafuta dumbago haba serkali atashkuwa hatwa mkali
kabeisa.
Mwarabu: Habana kufuta mtumbatu ndani ya myumba hii, mtu ukufuta mtumbatu haba tabigwa kwa kishwa yake halafu tabelekwa kwa bolis!
Jaluo....... Ni makufuru kuvuta singara kipande ii. Kama we nakamatwa inavuta singara kipande iii tapelekwa direct kwa prison.
Mhindi....Serkali sema pana buta sigara apa. basi watu ote pana buta sigara apa!
Makonde; Hailuuchiwi kubuta chigala apa otelini. Ukibuta chigala apa utapigwa nchale na kupelekwa chelikalini!
Msukuma: Inakatazwagwa kuvutaga masigala apa. mtu akivunja hili lishelia atapelekwa kwa mwanagwa jitabu.
Mpemba. Sigara zeshakatazwa kuvutiwa humu ngahawani hivo, na msifanye nchezo, Bwan Juma ni nkali atawatia jela wabishao na atawatoa kwenye CUF!
mnyakyusa:isigara sitikulongwa hap linga mundu awhonike alipakukwesa ingambo une mwamwenda angumtwala kupolisi mpilike?ap po pa sehemu ja biashara patikulondigwa ingambo mpilike whosa.
0 comments: