mtoto wa maajabu azaliwa

06:31:00 Unknown 0 Comments

Kuna mtoto mmoja hivi alichelewa kuongea hadi anafika miaka 8 hakuwahi kuongea..Siku moja akiwa na miaka 8 na miezi kama 7 hivi akaongea neno moja tu "babu" basi baada ya siku tatu yule babu akafa..siku nyingine tena akasema neno "bibi" baada ya siku mbil yule bibi yake akafa.,
Sasa kuna siku nyingine wakiwa dining rum wanakula akasema neno "baba" aah basi yule baba yake akaacha kula akakimbilia chumbani na kuanza kuweweseka na kulialia...
basi kesho yake asubuh HOUSE BOY akafariki...

You Might Also Like

0 comments: