Dalili za kujua kama umeanza kuwa kichaa

08:39:00 Unknown 0 Comments


1. Unafikiria mipango mikubwa lakini haujishughulishi kabisa wewe ni wakulala tu.

2. Kila ukiona wenzako wanaojituma wanafanya mambo makubwa kimaisha wewe lazima ujisemeshe kuna mkono wa freemason

3. Wewe kila post ni kubishia tu hata hii unaweza ukakuta unaijadili siku nzima na kusahau wajibu wako wa siku.

4. Wewe ni mzee wa kuropoka ropoka tu mkigombana na mpenzi wako mpaka mambo ya ndani bilakujua na wewe unajichora

5. Ukipigwa kibuti tu kazi haziendi na unaweza kupatwa na malaria juu

6. Kila kinachokusibu lazima ukiweke FB kama vile FB ndio wanaokusaidia vile.

You Might Also Like

0 comments: