Leo nimegundua watanzania waoga aisee
Yaani muda huu nilikuwa kwenye daladala na tumebanana kweli sasa kuna jamaa akawa kanibana sana na nikiwaambia na wenzake hawaelewi
Nikamtext jamaa yangu anipigie na aliponipigia nikawa namwambia nimepimwa nimeonekana na ebola naenda dar kutibiwa kesho.....
Aisee watu wakaanza kuziba pua na kidomo huku wakinikwepa na kituo kilichofuata daladala imekaa tupu watu wote wameshuka.
duuh shidaaaaa
0 comments: